AfyaSystem
Mfumo wa biashara za afya Tanzania

Simamia kliniki, kituo cha afya, pharmacy na matawi mengi kwa urahisi.

AfyaSystem huunganisha huduma za mapokezi, kliniki, malipo, vipimo, pharmacy, stoo na taarifa za uongozi kwenye mfumo mmoja salama.

Biashara moja, mfumo mmoja
  • Kliniki au dispensary
  • Kituo cha afya chenye pharmacy ya ndani
  • Pharmacy inayojitegemea
  • Matawi mengi ya aina tofauti
Inakufaa

Chagua muundo wa biashara yako

Clinic / Dispensary / Kituo cha Afya

Simamia wagonjwa, ziara, malipo, daktari, vipimo na pharmacy ya ndani.

Pharmacy Pekee

POS, malipo, risiti, bidhaa, manunuzi, batch na stock bila moduli za kliniki.

Multi-Branch Business

Fuatilia matawi kadhaa ya kliniki, pharmacy au mchanganyiko wake.

Vipengele vya V1

Kazi muhimu za kila siku, mahali pamoja

Wagonjwa na mapokezi
Miadi na ziara
Billing na cashier
Triage na consultation
Laboratory na ultrasound
Prescriptions
Pharmacy POS
Stock na manunuzi
Reports
Matawi, watumiaji na ruhusa
Mtiririko rahisi

Kutoka huduma hadi risiti

Kituo cha afya

Usajili → Billing → Daktari → Vipimo → Pharmacy → Risiti

Pharmacy

Bidhaa → POS → Malipo → Risiti → Stock update

Vifurushi

Chagua kifurushi kinachokua na biashara yako

Vifurushi vya umma vinaandaliwa. Wasiliana nasi kupata maelezo.

Kuhusu Baltha

AfyaSystem is a product of Baltha Enterprises (T) Limited.

Omba majaribio